Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja chief..,Thanks mkuu Hearly
How oldayu now!.. How oldayu now!..Thanks mate. Tuko pamoja Kuendesha gurudumu la kusambaziana elimu
Nakuruhusu kafukue mkuu
Pole sana mkuu kwa hayo yaliyokukuta huko kunako chumbani(PM)
Kuwa mvumilivu JF ni mtandao bora wenye kila aina ya huduma unayoitaka ambayo sehemu nyingine ungeweza kuilipa japo senti 5.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hiyo ndo imekuthibitishia kwamba mie sijazaliwa enzi za nyerere au?Nimekutana na comment yangu kwenye mojawapo ya kaburi, nimebaki mdomo wazi(In Ushimen voice )
Hilo sio jibu ila nimefurahi kuiona hiyo comment maana nilishasahau kama niliwahi kukutana na uzi wa namna ile.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hiyo ndo imekuthibitishia kwamba mie sijazaliwa enzi za nyerere au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya banaHilo sio jibu ila nimefurahi kuiona hiyo comment maana nilishasahau kama niliwahi kukutana na uzi wa namna ile.
Bahati yako vyanzo vya awali havina data za uhakika, naendelea kukuvizia siku moja nitakuumbua, omba usisahau hili.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bana
Asante kwa maupendo Mkuu.Maupendo tu ndio maana sikusahau
Nikusaidie kiduchu mimi ni mama wa watoi wawili. Wa kwanza yupo darasa la tano. Do the calculation [emoji23][emoji23][emoji23]Bahati yako vyanzo vya awali havina data za uhakika, naendelea kukuvizia siku moja nitakuumbua, omba usisahau hili.....
Ndiyo nilibadilisha muda tu mkuu.Ndio maana sikuoni kwa muda mrefu kumbe umebadilisha label
Kuna thired ya Daby kama sikosei sikumbuki ilihusu nini ndo nilijipambanua kaitafute [emoji23][emoji23][emoji23]Bahati yako vyanzo vya awali havina data za uhakika, naendelea kukuvizia siku moja nitakuumbua, omba usisahau hili.....
Sawa pamoja sana mkuuNdiyo nilibadilisha muda tu mkuu.