Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

Kwa hiyo kwa wewe kuweza kuandika vifasihi vyako uchwara ndiyo unajiona umetimiza malengo yako?

Nasema hiviii: Ukifa leo hii hutakumbukwa kwa lolote hapa duniani na mbinguni unakokulilia, utaenda kuchapwa viboko milele

 
Kwa hiyo kwa wewe kuweza kuandika vifasihi vyako uchwara ndiyo unajiona umetimiza malengo yako?

Nasema hiviii: Ukifa leo hii hutakumbukwa kwa lolote hapa duniani na mbinguni unakokulilia, utaenda kuchapwa viboko milele

Karibu sana.
Nashukuru kwa maoni. Utu uzima raha sana
 
Pole sana Mkuu.
Ukiweka vipaombele kwenye vitu kamwe haviwezi kukaa sawa. Coz vina expire date.

Mimi kwangu mambo yapo sawa. Sin Deni
Basi ni vizuri ila hakikisha una uchumi wa uhakika na hata ukiwa umelala kitandani uchumi huo hauathiriki! Pia hakikisha una nyumba yako ya kuishi hadi mwisho; nyumba hiyo nzuri na futuristic iwe mahali pazuri sana pasipo na bugdha yoyote kwani wazee hawahimili mikiki na interest zao ni tofauti sana na za vijana. Hakikisha una mke wa kweli! Hakikisha una watoto wa kutosha hakuna idadi nzuri ila uweze tu kumudu mahitaji yao.
 

Ni ushauri mzuri sana mkuu.

Ukiwa na Mungu unayote Mkuu.

Nimefanikiwa kuishi na kuona wazee waliojipanga vilivyo katika ujana wao lakini uzee wao wakafukuzwa na watoto wao wa kuwazaa.

Yupo mama mmoja kwa sasa anamiaka 80 ni rafiki yangu. Yupo Arusha, watoto wake wamemgeuka na wanataka kumfukuza kwenye Mali alizochuma na mumewe. Huyu mwanamama kabla hajawa mjeshi alikuwa afisa Afya.

Yupo mzee mmoja n mteja wangu ila yupo Ulaya. Ndugu zake wamemsumbua sana na kumshitaki serikalini ati kisa amechukua uraia wa Uingereza na anamiliki mali(nyumba mbili) huku Tanzania. Asikuambie mtu kesi imetembea sema kwa bahati anawatoto wanaishi huku Tz ila ndugu kidogo waue watoto.

Tumaini pekee ambalo mwanadamu atakuwa nalo ni Mungu pekee kwa sababu yeye ndiye anaweza kukulinda.

Hata hivyo ushauri wako ni mzuri kwa sababu unapatana na kanuni ya kufanya kazi na kujiwekea akiba. Lakini hiyo haimaanishi kuwa akiba na mali zitaweza kukusaidia endapo Mungu asipokuwa upande wako matatizo yakikujia
 
HBD kijana 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…