Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

0-15 (balekh) = mtoto > kijana mdogo
15-30 = kijana mdogo > kijana mkubwa
30-40 = kijana mkubwa > mtu mzima
40-50 = mtu mzima > uzee
50-60 = uzee > uzee wa makamo
60-80 = uzee wa makamo > ajuza

0-15
ni mtoto sababu hajabalekh so hajui chochote.

15+
Sio mtoto ni kijana sababu anauwezo wa kukutia mimba au kubeba mimba ukijichanganya, huu ni umri wa kukua na kukosea sana na kujifunza. Unaruhusiwa vitu kama kulia machoz kwa mapenz, matatizo au ugumu wa maisha, kurudisha mpira kwa kipa ruksa, kukaa home utumwe nyanya na kusimamia wadogo zako ni sawa, pia unatakiwa kua na jicho la mzazi ili kukukemea tabia zako ni sawa maana bado hujakomaa sana.

30+
Ni umri wa kujitegemea, kutafuta na kumiliki vitu na mali zako, kujisimamia, kuanza kutegemewa, na viujinga vidogo vidogo kama kupiga watu, kushabikia mpira ukifungwa unalia, kunyeyekea mwanamke, kukimbia familia, kukimbia majukumu, kukaa getto, kuchelewa kurudi nyumbani kisa starehe pia kurudisha familia pekee nyumbani kwa wazaz kwamuda ili ujitafute ni ruksa maana bado kijana.

40+
Huu ni utu uzima, apa hatutegemei useme umekosea bahati mbaya, hatugemei kukuona unalia, unapiga au kupigana isipokua iwe ni kwa kulinda familia na adui, usiseme maisha ni magumu kwenye huu umri, Kua jobless, kushinda kwenye starehe, kula kwa mama ntilie bila ulazima, kuhangaika na mapenzi and etc.
Tunategea kukuona sehemu za kutekeleza majuku zaidi, lazima hue na address ya kazini au nyumbani kwako inayoeleweka, kua na familia, kutambulika sehemu za ibada zaidi, kipato and etc.

50+
Huu ni uzee, hekima na busara ndo kitu kinapaswa kutawala kwenye viungo vyako mpaka mwonekano, hapa hatupaswi kukuona unatukana, mambo ya uchonganishi, magomvi, starehe za ujana n.k
Unapwa kua na mji wako, assets(miradi), kipato lazima hata kama kinaishia kwenye kula.

60+
Hapa ni uzee wa makamo, yani hapa ndo unaanza kuexpire, so lazima kuanza kutafuta warithi wa majukumu yako, kama unagari anza kutafuta namna yakua unaendeshwa siku zijazo, kama unamji tafuta watu watakao kua wanakusaidia majukumu ya mji wako pamoja na miradi yako ila ni ruksa pia kusimamia kwa kiasi.

70+
Hapa we tulia kua mtu wa story nyingi, gawa mali zako kwa haki na busara, kua na upendo, ibada sana, bariki watu, chekesha watu subiri kufa bila deni.

Kwaiyo Mtiberi hongera sana na tunakukaribisha kwenye floor ya tatu, wengine sisi ni wenyeji ndo tunajianda kuondoka hii floor, bado mengi utayapitia ila kumbuka kuheshimu na kulipamba jina lako kuliko kitu kingine.

Samehe mwandiko wangu.
 
Shukran sana Mkuu.
Kwa umri huu nitakuwa msikilizaji zaidi na mnenaji kidogo. Ni umri wa kuchagua kipi cha kuvaa, kipi cha kusema, kipi chakula
 
umebakisha miaka 10 kwa hiyo tatua changamoto
431580616_122125341332218078_2136264889319309373_n.jpg
 
😀😀
Mkuu kama hujapewa kadi ya utu uzima na upo above 30 njoo kwenye sherehe iungwe.
Utu uzima haimaanishi hutafurahia maisha.

Kufurahia maisha kwetu ni culture. Hakuna umri
Nimevuka 40.

Kipindi nina 30 nilikuwa naona 40 mbali sana, kumbe ni kugusa tu.
 
Back
Top Bottom