likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Hongera sana mkuu ila apo kwa GuDume nimecheka sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah kweli kiongozi, binafsi huwa naenjoy sana post zako. Watu kama ninyi mnaifanya jf iwe sehemu ya kuburudisha pamoja sana mkuu[emoji111]Magisha naamini unaamini kila mtu ana role yake katika jamii. Mimi ndo nipo hivi nlivyo. Peace and love... I hate nobody.
GuDume MIMI SIINGILII LIFE STYLE YAKO NA NASHUKURU UMEJIELEZA KUWA MTU AISHI ATAKAVYO ILI MRADI ASIWAUMIZE WENGNE AU KUINGILIA MPAKA WENGNE.
NADHANI UNAKUMBUKA KOSA ULILOLIFANYA LA KUNIWEKA KUNDI LA WANAWAKE HUKU UKIJUA FKA KUWA SYO SAWASAWA NA HATA ULIPOJFANYA HUJUI NA ULIPOJUA HUKUOMBA MSAMAHA WALA KUFUTA JINA.
ANYWAY, MERRY CHRISTMASS