Happy birthday to me: Nawashukuru wanaJF nawatakia heri ya Christmass na mwaka mpya.

Happy birthday to me: Nawashukuru wanaJF nawatakia heri ya Christmass na mwaka mpya.

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
5,402
Reaction score
6,081
Tarehe kama ya leo miaka 27 iliyopita kwa mapenzi ya Mungu nililetwa hapa duniani.

Pamoja na mambo mengine, namshukuru Mungu kwa kuendelea kunipa afya njema na kuhimili changamoto mbalimbali.

Ninaamini marafiki wa JF ni sehemu ya furaha yangu katika ulimwengu.

Kipekee nitawataja baadhi ya members naowakumbuka kwa majina
Maxence Melo (JF founder, bigup bro)
emmyta
Shunie Daby Joseverest (first reply)
Sky Eclat (doctor)
GuDume (ila acha ubwege)
MBITIYAZA
kapeace
mahondaw
BAK (mzee wa upinzani)
ONTARIO (tumia fursa)
Moderator (punguza ukali)

Na wengineo wengi nawatakia sikukuu njema.

Kwa niliowakwaza, kumradhi, Mawazo hayafanani hata vikombe hugongana.
 
Hongera sana mkuu ila apo kwa GuDume nimecheka sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi nina miaka mingi nipo hivi nmejikubali ni ngumu leo kubadilika. Unajua kiumri hata mdogo wangu wa mwisho ni mkubwa kwako. Katika maisha nilijifunza kuwa kila mtu yupo jinsi alivyo kwa lengo mahsusi.ni ngumu wote kufanana tabia na ingekuwa hivyo kusingekuwa na flavor kabisa.

Maisha yana utamu sababu some people have decided to treat life as a very funny thing.they don wanna give a damn about complications risen by some people.i enjoy my life and am happy as long as i hurt nobody coz i cant please everybody.i just please myself and make sure i hurt nobody. I always tell people who hate me, they cant hurt me through hatred.they hurt themselves.i remain somewhere safe and sound.smilling.we only live once. Instead of spreading hate lets spread peace and love.

Happybirthday.
 
Magisha naamini unaamini kila mtu ana role yake katika jamii. Mimi ndo nipo hivi nlivyo. Peace and love... I hate nobody.

Hongera sana mkuu ila apo kwa GuDume nimecheka sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Live it to the fullest....anamalizia CC:GuDume
 
Happybirthday mkuu...! Umezaliwa siku isiyo itaji gharama zako kupart.....!
 
Magisha naamini unaamini kila mtu ana role yake katika jamii. Mimi ndo nipo hivi nlivyo. Peace and love... I hate nobody.
Dah kweli kiongozi, binafsi huwa naenjoy sana post zako. Watu kama ninyi mnaifanya jf iwe sehemu ya kuburudisha pamoja sana mkuu[emoji111]
 
GuDume MIMI SIINGILII LIFE STYLE YAKO NA NASHUKURU UMEJIELEZA KUWA MTU AISHI ATAKAVYO ILI MRADI ASIWAUMIZE WENGNE AU KUINGILIA MPAKA WENGNE.

NADHANI UNAKUMBUKA KOSA ULILOLIFANYA LA KUNIWEKA KUNDI LA WANAWAKE HUKU UKIJUA FKA KUWA SYO SAWASAWA NA HATA ULIPOJFANYA HUJUI NA ULIPOJUA HUKUOMBA MSAMAHA WALA KUFUTA JINA.

ANYWAY, MERRY CHRISTMASS
 
Kiukwel before sikujua kma ni me.frankly speaking ila ulipoanza tukana bas nikaona iwe shali tu maana huwa naenjoy kumkwaza mtu ambaye anakwazika na uwepo wangu.au anayetaka kunikwaza mimi huona ni a game...napenda matukio.otherwise kwa mtu mstaarab namweshimu sana. So sikufanya kusudi mi ni mtu nliyejaa upendo na siku moja naweza kuwa shemej yako.huna dada wewe?au aunt yako

Back
Top Bottom