Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

dah! Hawa mabinti nawakubali sana kwenye haya makitu. Uwe unaniachaga nami japo kwa siku moja........ Unakumbuka ile siku?

hapo cacico, nivea na madame b walibaki hooooi!!
usinikumbushe miaka hiyo, nilikuwa speechless! Weekend hii twanywa wapi luv wangu?? Sema neno na roho yangu i[ate uzima. Sitakuacha kebbys, nimeorder double mbili kwa ajili yetu mahusat wangu!
 
hongera sana ila nakushauri upunguze au kuacha kabisa vitu hivi uta dead soon
1.matumizi ya vileo yanaharibu ubongo source jf doctors
2.matumizi ya dawa ya penzi sio mazuri cause ile ladha halisi unakuwa huipati ni sawa nakula ndizi na maganda yake
3.maabarmaid wazuri lakin wanahatarisha maisha yako cause kwao wa hapedwi mtu bila pochi na mashallaah we kidogo unazo maana ndoa 3 wote wana nyumba na mikoko ya nguvu na bado unatoka na under 18 hela unazo bana.ni hayo tu
 
Waohhh! Thats my wife! Amina mke wangu. Ubarikiwe pia.

BTW Vipi yule poppy wetu bado yupo? Ananisaidiaga kwenye mambo yangu ya mawivu..... Si Unajua sitaki kushea na mtu penzi lako?

usinikumbushe miaka hiyo, nilikuwa speechless! Weekend hii twanywa wapi luv wangu?? Sema neno na roho yangu i[ate uzima. Sitakuacha kebbys, nimeorder double mbili kwa ajili yetu mahusat wangu!

Unataka neno moja my love? Nimeishiwa maneno, kamata hii...

Hahahahaha! habari yako ummu kulthum? Umemwona Kaizer? Alikuwa anakutafuta sana.

BTW unajua pombe si chai?

Last edited by a moderator:
ODM nipe tenda ya jeneza mkuu. Ntakutengenezea mazuri mpaka ufrahi ufufuke

Kula kuku mpaka bata waone wivu ah sore kula bata mpaka kuku waone wivu!!

Happy Birthday Asprin!
May you live to see your great, great, great grand children! Long Live!
 
Siyo jenaza mkuu, hata Kaburi we nifanyie mamdingo. Ila angalia usije ukaniwahi.... Ohooooo

Na huyo bata unayesema nimle ni bata yuleyule au fumbo tata?

happy birthday babu baby Asprin ODM
mzeeh k...k amekuwekea keki ya kienyeji jioni upitie pale :A S soccer:
 
Last edited by a moderator:

umeona eeeeeh....hao wazee nawapa big up sana.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…