Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

Happy Birthday to Me! OMG!!!ODM anazidi kulisogelea kaburi...

Happy-BirthDay-Wish.gif

Tafwazali babu Asprin soma pekeyako ujumbe huu!!!!!!

waoooh!

Am humbled! Sijausoma peke yangu tu, bali nimeukariri na kuuhifadhi moyoni mwangu.

Thanks so very much darling charminglady. And I mean it, yes I mean darling.
 
Last edited by a moderator:
Chelewa chelewaaaaaa!!!!!!
:madgrin::madgrin::madgrin:

Na wewe usichelewe chelewe
:becky::becky::becky:

Me mshamuwahi mbona!!! White party ntakuwa naye.. Kanipromise kuwa na mie mwanzo mwisho!!!!

Hapo vipi Asprin
Hapo sawa, tena hapo powa. Wahi FastJet bana, kama hukuji nami siendi kwa party!:mwaaah::mwaaah::mwaaah:

wow! Thats gud. Uwe unamkumbusha. Hakawii kusahau.
:confused2::confused2::confused2:

Mimi na wewe hatukukutana barabarani.
Naaaam, na kizuri kula na nduguyo!!:majani7::majani7:
 
:madgrin::madgrin::madgrin:

:becky::becky::becky:

Hapo sawa, tena hapo powa. Wahi FastJet bana, kama hukuji nami siendi kwa party!:mwaaah::mwaaah::mwaaah:

:confused2::confused2::confused2:

Naaaam, na kizuri kula na nduguyo!!:majani7::majani7:

kama kawa. Kama dawa...
 
Hapy bday babi odm a.k.a Asprin mungu akujalie kheri na baraka tele wamtumainio mungu hata wakifa bado wanaishi ,una miaka mingi sana yakuishi duniani .vipi hapo inauzwa mbege
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom