:madgrin::madgrin::madgrin:Chelewa chelewaaaaaa!!!!!!
:becky::becky::becky:Na wewe usichelewe chelewe
Hapo sawa, tena hapo powa. Wahi FastJet bana, kama hukuji nami siendi kwa party!:mwaaah::mwaaah::mwaaah:Me mshamuwahi mbona!!! White party ntakuwa naye.. Kanipromise kuwa na mie mwanzo mwisho!!!!
Hapo vipi Asprin
:confused2::confused2::confused2:wow! Thats gud. Uwe unamkumbusha. Hakawii kusahau.
Naaaam, na kizuri kula na nduguyo!!:majani7::majani7:Mimi na wewe hatukukutana barabarani.
Dawa ya deni kulipa, usijali.
Sitoki mpaka wajukuu zangu wote wamalize kujifungua.
:madgrin::madgrin::madgrin:
:becky::becky::becky:
Hapo sawa, tena hapo powa. Wahi FastJet bana, kama hukuji nami siendi kwa party!:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
:confused2::confused2::confused2:
Naaaam, na kizuri kula na nduguyo!!:majani7::majani7:
Nawagawia dawa za kutuliza maumivu...:shut-mouth::shut-mouth:
wow! Thats gud. Uwe unamkumbusha. Hakawii kusahau.
geza geza! Hubby wabunie ya kwao, wanadesa mpaka midomo yetu!
he he he he he !afanalek wallahi, kweli usimuamini mtu, hata kivuli chako kikimbie! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hubby Asprin kuja pande hii!
wa leo kazi anayo aiseee lol