Hommie Kaizer popote ulipo, unaitwa na ummu kulthum huku...
Afu wewe ulipe deni langu.Happy birthday to you!!!
chini ya twisheni yako ODM nimefuzu sanaaaaaaaaaa sibababishwi na kitu! mwenyewe navaa tenge langu na skini taiti aaah no problemo!
nivea unatengeneza kasirya... kadogo.. jiandae kuamulia
Babu ODM naona leo watu wanatangaza nia...naona haya ndio matunda ya kaguzi zako...
nakwambia jamabazi limevamia! Mahakama yakeni the hague tu! nivea upo dada?
hahahaha najua wewe bado unajikoki siku ya kujilipua hapa.... mi najificha pangoni
au unajilipua live pale kebbys