Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Shukrani mazee. Karibu kundini mkuu! Usiniulize nna umri gani tafazali.:glasses-nerdy:
kwi kwi kwi kwi! huwa unanifurahisha sana, upo baba??roho yangu na ikuimbieeeeeeeee.......................................
itarudi kweli.....
hahahaha babu unazeeka na Medeni?? haiwezekani sema wajukuu wakulipie au ulikopa ileeeeeee........naniliu !!!!!
Hepi besdei tu yuuu....... Hizi basdei za siku hizi zinafika haraka sana.......
Mzima. I'm already booked,utakomaje?
kalala!! embu muache!!!
Umejuaje kama kalala?