Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Happy Birthday Mpenda Yesu.
Allah akupe maisha Marefu hapa Duniani.
Kwani ana makusudi yake kukuleta ndani ya hii Dunia.
HAPPY BIRTHDAY MPENDWA
Bwana Yesu asifiwe..happy birthday 2 u
Miaka kadhaa iliyo pita,Mungu mwenyezi alinipa neema ya kuzaliwa hapa duniani.
Nachukua fursa hii:
1/Kumshukuru sana Mungu aliye nilinda na kunipigania kwa miaka hii yote.
2/Kuwashukuru wazazi wangu wapendwa walio nilea katika maadili mema.
3/Kushukuru jamii zote nilizo ishi nazo,ikiwemo jamiiforums iliyo nikuza kifikra na kunifanya product nzuri katika nchi yetu.
Tusherehekee pamoja!
Copy: Ndelejha noahism Ismail N. Juma cacico twins's mum Baba V Arushaone sister Rosweeter Bishop Hiluka Mamndenyi Amina Thomas mtu chake Radhia Sweety junior.cux Madame B Invisible figganigga and all Jf members.
Kila la kheri kijana wetu!
Ushaoa lakini? Ama upoupo tu!
Happy Birthday Ghwamwitu...