Happy Birthday to Me,OOH,thank you Lord!

Happy Birthday to Me,OOH,thank you Lord!

Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa...Kyala akwimilile amasiku ghosa.
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa...Kyala akwimilile amasiku ghosa.



lugha mara mwisho kuisikia sijui wapi kama sio china,marekan vijijini au vietinam!!
Ooh sory naomba unisaidie!!!
 
Happy birthday Mpenda Yesu..uzidi kukua kwa hekima na kimo,ukimpendeza Mungu na wanadam
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa...Kyala akwimilile amasiku ghosa.

Ndaga fijo nngamu gwa Kyala!
Kyala akutule!
Karibu Jacaranda kwenye sherehe mkuu watu8!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mpenda Yesu..uzidi kukua kwa hekima na kimo,ukimpendeza Mungu na wanadam
 
Last edited by a moderator:
hata kama ujanitumia nakala acha nikutakie uzima, afya njema na baraka katika kusherekea miaka yako na Mungu akuzidishie wingi wa siku, uishi milele

pokea kitu kidogo hichi hapa


kula na familia na marafiki zako wa jf cc KEKI EATING.jpg
 

Attachments

  • cake2.jpeg
    cake2.jpeg
    9.1 KB · Views: 45
vile vile usisahau kutualika katika sherehe yako sijui itafanyika wapi naomba niwe MC wa hiyo function kama utapenda niunganishe hapa:

acha nikuchekeshe na nikupe furaha kidogo fungua hapa uone mambo niliyokutumia hii ndo gift yangu kwako
bhana imekataa kuingia sijui inaingizwaje? oky pokea hiibaby1.jpeg na hii ndo kali zaidi hiyo hapo:baby 2.jpeg

ushakuwa mkubwa fungua mlango kwa utulivu sio kugonga utadhani uko ghetto kwako gonga kwa amani wewe
 

Attachments

  • knocking.jpeg
    knocking.jpeg
    4.5 KB · Views: 42
Miaka kadhaa iliyo pita,Mungu mwenyezi alinipa neema ya kuzaliwa hapa duniani.
Nachukua fursa hii:
1/Kumshukuru sana Mungu aliye nilinda na kunipigania kwa miaka hii yote.

2/Kuwashukuru wazazi wangu wapendwa walio nilea katika maadili mema.

3/Kushukuru jamii zote nilizo ishi nazo,ikiwemo jamiiforums iliyo nikuza kifikra na kunifanya product nzuri katika nchi yetu.

Tusherehekee pamoja!

Copy: Ndelejha noahism Ismail N. Juma cacico twins's mum Baba V Arushaone sister Rosweeter Bishop Hiluka Mamndenyi Amina Thomas mtu chake Radhia Sweety junior.cux Madame B Invisible figganigga and all Jf members.

Happy birthday Mpenda Yesu..

Hakika pia Yesu anakupenda..
 
Last edited by a moderator:
hata kama ujanitumia nakala acha nikutakie uzima, afya njema na baraka katika kusherekea miaka yako na Mungu akuzidishie wingi wa siku, uishi milele

pokea kitu kidogo hichi hapa


kula na familia na marafiki zako wa jf ccView attachment 84249

Ahsante sana mama mchungaji ladyfurahia.
Nafasi isingetosha bhana kuwataja wote;ahsante kwa zawadi yako ya upendo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom