Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
- Thread starter
- #41
vile vile usisahau kutualika katika sherehe yako sijui itafanyika wapi naomba niwe MC wa hiyo function kama utapenda niunganishe hapa:
acha nikuchekeshe na nikupe furaha kidogo fungua hapa uone mambo niliyokutumia hii ndo gift yangu kwako
bhana imekataa kuingia sijui inaingizwaje? oky pokea hiiView attachment 84250 na hii ndo kali zaidi hiyo hapo:View attachment 84251
ushakuwa mkubwa fungua mlango kwa utulivu sio kugonga utadhani uko ghetto kwako gonga kwa amani wewe
Karibu sana mama mchungaji!
Sherehe zitafanyika nyumbani Mbeya mtaa wa Jacaranda.
cacico na watu8 watakuleta,usihofu.
Last edited by a moderator: