Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
- Thread starter
-
- #21
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa...Kyala akwimilile amasiku ghosa.
Happy birthday Mpenda Yesu..uzidi kukua kwa hekima na kimo,ukimpendeza Mungu na wanadam
Miaka kadhaa iliyo pita,Mungu mwenyezi alinipa neema ya kuzaliwa hapa duniani.
Nachukua fursa hii:
1/Kumshukuru sana Mungu aliye nilinda na kunipigania kwa miaka hii yote.
2/Kuwashukuru wazazi wangu wapendwa walio nilea katika maadili mema.
3/Kushukuru jamii zote nilizo ishi nazo,ikiwemo jamiiforums iliyo nikuza kifikra na kunifanya product nzuri katika nchi yetu.
Tusherehekee pamoja!
Copy: Ndelejha noahism Ismail N. Juma cacico twins's mum Baba V Arushaone sister Rosweeter Bishop Hiluka Mamndenyi Amina Thomas mtu chake Radhia Sweety junior.cux Madame B Invisible figganigga and all Jf members.
hata kama ujanitumia nakala acha nikutakie uzima, afya njema na baraka katika kusherekea miaka yako na Mungu akuzidishie wingi wa siku, uishi milele
pokea kitu kidogo hichi hapa
kula na familia na marafiki zako wa jf ccView attachment 84249