Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
- Thread starter
-
- #41
vile vile usisahau kutualika katika sherehe yako sijui itafanyika wapi naomba niwe MC wa hiyo function kama utapenda niunganishe hapa:
acha nikuchekeshe na nikupe furaha kidogo fungua hapa uone mambo niliyokutumia hii ndo gift yangu kwako
bhana imekataa kuingia sijui inaingizwaje? oky pokea hiiView attachment 84250 na hii ndo kali zaidi hiyo hapo:View attachment 84251
ushakuwa mkubwa fungua mlango kwa utulivu sio kugonga utadhani uko ghetto kwako gonga kwa amani wewe
oky ila sipajui kabisa labda wanitumie ndege ya FASTJET nije huko kama kuna uwezekano huo @ Mpenda Yesu
Haya... watu8 kamchukue ladyfurahia umlete hapa Mbeya Jacaranda.
miaka kadhaa iliyo pita,mungu mwenyezi alinipa neema ya kuzaliwa hapa duniani.
Nachukua fursa hii:
1/kumshukuru sana mungu aliye nilinda na kunipigania kwa miaka hii yote.
2/kuwashukuru wazazi wangu wapendwa walio nilea katika maadili mema.
3/kushukuru jamii zote nilizo ishi nazo,ikiwemo jamiiforums iliyo nikuza kifikra na kunifanya product nzuri katika nchi yetu.
Tusherehekee pamoja!
Copy: ndelejha noahism ismail n. Juma cacico twins's mum baba v arushaone sister rosweeter bishop hiluka mamndenyi amina thomas mtu chake radhia sweety junior.cux madame b invisible figganigga and all jf members.
Sijui unapenda kinywaji gani kati ya hivi hapa chagua kimojawapo usiwe na macho juujuu chagua kimoja tu ni zawadi yako ya b'day nataka uinjoy na kufurahia like my name: Mgeni rasmi atakuwa waziri wetu huyu hapa nimemleta mpokee anapanda ndege ya presicion air:View attachment 84298
Ingawa nimechelewa, lakini nakutakia maisha mema mema, Happy Birthday, Mpenda Yesu...