Ila nsikudanganye hilo jina nikawa najua ni brazaAhsante[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haya sasa fanya yako hapoIla nsikudanganye hilo jina nikawa najua ni braza
[emoji1]
Ila ulivo sema unakuwa mama ndio nika jua otherwise
Nilitaka nichangamke ila asha sema Anakaribia kuitwa mamaHaya sasa fanya yako hapo
Hiii assist imenyooka kweliHaya sasa fanya yako hapo
Zimefikaa...si afanye mchakato kashajua wew ni ke sasaAfanyaje tenaa..... Ila mwambie Jolie namuwish heri yake ya kuzaliwa
Iceman unataka utafuniwe kabisa?Hahahhaha weweeee sina likibendi bhanaaaaaa...... Kukaribia kuitwa mama means umri unaruhusu