Happy birthday to me

Happy birthday to me

Haa haa haa ozil
Nae anampasia morata

Anasema ww ndo unasubiriwa
aitwe mama
Hahahaha
Yeye OzIl kampasia Sanogo [emoji23]

Asee hta kama ni Yaya Sanogo ngoja nijitume hapa.
 
Ila nimechukia kama hata kunitaarifu rafiki au ndio uchoyo.

Sababu leo ningejidamsha kuingia huku ili tu nikuandikie uzi rafiki. Hahahaaaa.
 
Ila nimechukia kama hata kunitaarifu rafiki au ndio uchoyo.

Sababu leo ningejidamsha kuingia huku ili tu nikuandikie uzi rafiki. Hahahaaaa.
Sorry mamy nlikua busy na kazi mpk nikasahau kukujulisha....... Nisamehe sana mamy
 
Mungu amekuamini na kukupenda kukupa muda mwingine.

Endelea kumuamini Mungu na kujiamini na kujisimamia.

Happy birthday to you.
 
Back
Top Bottom