Happy birthday to me

Thank you mwifa... Hope tayari mimi ni mke mwema bado mume mwema tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] (jokes)

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Una maana mume mwema bado hajazaliwa/hajapatikana?

Maana kauli yako ya kusema unatarajia kuitwa mama imetufanya tuwe wapole sisi watafutaji
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Una maana mume mwema bado hajazaliwa/hajapatikana?

Maana kauli yako ya kusema unatarajia kuitwa mama imetufanya tuwe wapole sisi watafutaji

We jamaa nakuandikia waraka.

You are so cool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…