usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Kapga assist ya kando hapoWoyiiiiiiii hahahaha nandy tena
Haa haa haa ngoja niset camera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapga assist ya kando hapoWoyiiiiiiii hahahaha nandy tena
Duuh. Pole sana shoga.Sorry mamy nlikua busy na kazi mpk nikasahau kukujulisha....... Nisamehe sana mamy
Braza usijaliHa haa haa zang n zaid ya za kifes
Ila zkifujaa Round hii itakua n makosa
Ya bill co nandy[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Iceman lazma atupe ushuhda kwamba
Haja tuangusha
AaahIla nimechukia kama hata kunitaarifu rafiki au ndio uchoyo.
Sababu leo ningejidamsha kuingia huku ili tu nikuandikie uzi rafiki. Hahahaaaa.
[emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257][emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hahahaaa. Sawa kaka ila ndio tuweke kumbukumbu sasa ili tusije sahau.Aaah
Usijali dada
Mwakani ntajidamka mapemaa
Hii ishu inafaa iiishie mwaka huu tuu
Ewaaaaaa. Hayo ndio maneno sasa shoga. Hahaaa.Hahahaha usijari jiandae kupanda basi
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eeh dada ( shemeji mtarajiwa)Hahahaaa. Sawa kaka ila ndio tuweke kumbukumbu sasa ili tusije sahau.
Hahaaa. Nafurahi kukufahamu Shemeji.Eeh dada ( shemeji mtarajiwa)
Ngoja ni inote hapa pembeni