Happy Birthday to me

Happy Birthday to me

Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka ndani na nje ya JamiiForums.

27th March ni Siku Muhimu Kwangu.
Hongera mtani Keki tuje kukata mitaa wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
japo nakiri na wala sifichi kuwa huwa kuna muda ( nyakati ) fulani huwa tuna na 'Vielementi' vya Upuuzi ( Upopoma ) au hata kuonekana ni kama Wendawazimu fulani vile.


Were you sober at the moment you wrote this narration ??!!
 
Back
Top Bottom