Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
AUnajifunza matusi kwa Tive Nyerere?Nimezipokea, ila Popoma Shangazi yako na Mjomba wako.
Anyway HBD.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AUnajifunza matusi kwa Tive Nyerere?Nimezipokea, ila Popoma Shangazi yako na Mjomba wako.
Hongera mtani Keki tuje kukata mitaa wapi?Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka ndani na nje ya JamiiForums.
27th March ni Siku Muhimu Kwangu.
japo nakiri na wala sifichi kuwa huwa kuna muda ( nyakati ) fulani huwa tuna na 'Vielementi' vya Upuuzi ( Upopoma ) au hata kuonekana ni kama Wendawazimu fulani vile.
Asante sana Mkuu.Hapyy Birthday GENTAMYCINE
Acha Bange / Bangi Wewe sawa?Hivi Mighter yule jamaa genious humu Jf birthdate yake ni lini?
Asante mno Mkuu.HAPPY BIRTHADAY MURAAAAA
Shukran Mkuu wangu.Happy birthday Genta
Asante Mkuu na zimenifikia.HBD mtoto wa Kagame
Shukran Mkuu.Heri ya kuzaliwa mzee wa ze gemu chenja.
Thanks my Dear.Happybirthday baby netanyahu
Thanks Chief.A happiest of birthdays to one of the most JF influential figures.
Thanks Chief.Happy birthday genta
Thanks Chief.Happy bday mkuu japo kwa kuchelewa.
Endelea kuwachachafya kweri-kweri 😂
Thanks Chief.Happy birthday
Kwahiyo hapa hujakomenti au? Bange / Bangi ni mbaya mno.Ninge comment ila ngoja nisiandike kitu.