GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Nitakuwa Chumbani 'namkanda' Mtu 'Kibaiolojia' Mkuu. Karibu uje upige 'Chabo' ili nawe ukajifunze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuwa Chumbani 'namkanda' Mtu 'Kibaiolojia' Mkuu. Karibu uje upige 'Chabo' ili nawe ukajifunze.
Thanks my Dear.Happy birthday Genta
Thanks and Amen.Kila la kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa...
Amina na Asante sana Mkuu.Mungu Akupe Maisha Yenye Neema na Baraka GENTAMYCINE
Nimewataja rejea Uzi wangu UjiridhisheHujatushukuru haters na watu wenye roho mbaya tunaokupa challenge...
Huyu bwege anapenda kujijazia misifa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Pamoja na yote hayo hadi Kunichukia Kwako ila 24/7 uwapo JamiiForums ni lazima tu utamsoma, utachangia na hata Kusoma tena kwa Utuo kabisa Mada zake.Huyu bwege anapenda kujijazia misifa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday DOMOKAYAAsante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka ndani na nje ya JamiiForums.
27th March ni Siku Muhimu Kwangu.
Popoma katika ubora wakoNimezipokea, ila Popoma Shangazi yako na Mjomba wako.
Domokaya happy bethdei banaaaaaaaHappy birthday DOMOKAYA
U can't be seriuos dude!i have a saprise tonight,but i'm totally disappointedNitakuwa Chumbani 'namkanda' Mtu 'Kibaiolojia' Mkuu. Karibu uje upige 'Chabo' ili nawe ukajifunze.