Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Japo Mjomba nae ni Mama, ila sijaona shukrani zilizoelekezwa kwa mjomba πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯

Happy belated birthday mpwa, ishi sana huku ukimpendeza Mungu.
 
uncle ulikua wapi jamaniπŸ€”πŸ€”...nimekumisπŸ₯ΉπŸ₯Ή
 
Majanga tu ya hapa na pale, na wewe hata kunijulia hali ukashindwa πŸ˜₯πŸ˜₯.

But niko well n good mpwa, mekumiss pia.
 
Nimekutafuta sana jamaniπŸ˜₯,, karibu mwezi mzima huonekani hadi nlikua wasiwasiπŸ™‡β€β™€οΈ.....ila kama uko salama vizuri inapendeza
 
Niko live sasa. Mungu ni mwema, uzima na afya vipo. 😊😊
 
Better late than never

Happy birthday to you mrembo
Baraka za Bwana ziwe juu yako mummy
 
Although nimechelewa kukuwish ila haijalishi.

Happy birthday my Queen.
 
Happy birthday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…