Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Unafurahia kuelekea uzeeni na kwenye kifo?
 
Hongera sana Leejay49 siku nzuri sana leo kwako na hata ndugu zako jamaa na marafiki, ufurahie hii siku kwa kumshukuru mwenyezi Mungu na kumuomba akujalie uwe mwenye faida kwa dunia.

Binafsi nakupongeza, hongera pia kwa wazazi na shukrani za kipekee kwa Mungu kwa sababu ya wewe.
 
C:
mtoto kitu na boksii chaguo langu ni wewee X 4

nipe bila waaasii , ewe wangu kipusa
nipe hiyo nafasi, mwenzio nimepagawa
tena nipe bila posi, nisijechanganyikiwaa



wewe nipe mpaka niseme baasi, kwa hili penzi lako wee X 2
wacha weee,, huhuuuu😘😘😘
 
Asante Pendaelli πŸ˜ŠπŸ€—..barikiwa sana 😍😍
 
Kila la kheri,mtoto mzuri
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…