Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you Introsagvert ππππ€
Unafurahia kuelekea uzeeni na kwenye kifo?Hello everyone πβΊ
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ππ€
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ππ)..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humuππ...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ππ₯³π₯³πππ View attachment 2699335
Sasa kinachokufurahisha hapo ni kipi hasa? Ungetumia huo mda kutafakari role Yako Duniani kuliko kufurahia njia ya uzee na kifo.Ni vitu ambavyo haviepukikiπππ€£π€£π€£...wote tutakufa
mtoto kitu na boksii chaguo langu ni wewee X 4
nipe bila waaasii , ewe wangu kipusa
nipe hiyo nafasi, mwenzio nimepagawa
tena nipe bila posi, nisijechanganyikiwaa
wewe nipe mpaka niseme baasi, kwa hili penzi lako wee X 2
wacha weee,, huhuuuuπππC:mtoto kitu na boksii chaguo langu ni wewee X 4 nipe bila waaasii , ewe wangu kipusa nipe hiyo nafasi, mwenzio nimepagawa tena nipe bila posi, nisijechanganyikiwaa wewe nipe mpaka niseme baasi, kwa hili penzi lako wee X 2
Asante Pendaelli ππ€..barikiwa sana ππHongera sana Leejay49 siku nzuri sana leo kwako na hata ndugu zako jamaa na marafiki, ufurahie hii siku kwa kumshukuru mwenyezi Mungu na kumuomba akujalie uwe mwenye faida kwa dunia.
Binafsi nakupongeza, hongera pia kwa wazazi na shukrani za kipekee kwa Mungu kwa sababu ya wewe.
Thank friend Mgeni wa Jiji ππ€