Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Hivi kwanini hua mnashindwa kusoma comment ya mtu na ukaielewa kwanza kabla ya kumquote?

Huoni kua hiyo comment yangu uliyoiquote ina question mark? hilo ni swali nimemuuliza niliyemquote.
Shukrani kwa kudadavua Mkuu

Wakati mwingine sisi Wazee tunakuwa na uoni hafifu hasa kwa maandishi haya madogo

Peace πŸ₯‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…