Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Ubize Umekua mwingi wizle lakin hujasaulika Kipenz cha Kaka🥰🥰Oukay thanks Wii 😍😘,, umepotea sana lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubize Umekua mwingi wizle lakin hujasaulika Kipenz cha Kaka🥰🥰Oukay thanks Wii 😍😘,, umepotea sana lakini
Shukrani kwa kudadavua MkuuHivi kwanini hua mnashindwa kusoma comment ya mtu na ukaielewa kwanza kabla ya kumquote?
Huoni kua hiyo comment yangu uliyoiquote ina question mark? hilo ni swali nimemuuliza niliyemquote.
Ooh.....hapo kwenye nauli mmefanya vizuriUsijali babu... hakuna kiingilio na walio mbali tunawatumia nauli kabisa😊🤗
anahitaji nini Mimi nimpe?Happy Birthday kwako Leejay,[emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Mungu akupe hitaji la Moyo wako [emoji120]
Thank you Bantu Lady 🤗Happy Born day to you, Beautiful Leejay49 🎂 Enjoy your day 😍
Afya njema na Pesa nyingianahitaji nini Mimi nimpe?
vyote hivyo naweza kumpa njoo nae tuu pm niwaelekeze Jinsi ya kuvipataAfya njema na Pesa nyingi