Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Hello everyone 😊☺

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi πŸ˜ŠπŸ€—

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humuπŸ˜„πŸ˜„...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME πŸŽ‰πŸ₯³πŸ₯³πŸ˜„πŸŽ‚πŸŽˆ View attachment 2699335
Hongera kwa kuongeza namba ya uzee wish you long lifeπŸ‘™
 
Back
Top Bottom