Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Happybirthday dogo lake...penda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani hakuna kula cakeThank you best friend of mine😊🤗, mtani kama mtani
Mtani nmesema hatutski kuona cake🤣Inakosekanaje kwa mfano...ni wewe tu kuja eneo la tukio
Thank you mcTobby 😍🤗...barikiwa sanaHappy birthday. Zawadi naeza kupa ni playlist ya my fav.Tracks. 1.Nickelback-savin me. 2.nickelback-how you reminds me. 3.monster-rihanna ft eminem 4.Dont hurt me-eminem. 5. Lets call it love-lionel richie. 6.Zero -chris brown 7.Where the hood at-D.M.X. 8.Ruff riders anthem.D.M.X 9.Fly over states-jason aldean 10.Sweet child o mine- gun n roses. 11.Bewitch you- ghost. 12.Crazy over you-ky lyn
Usisahau na mdogo wako wa kiumeHello everyone 😊☺
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi 😊🤗
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu😄😄...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉🥳🥳😄🎂🎈 View attachment 2699335