Kaka yako yuko wapi? Sijamtia machoni wiki ya 3 hii!!Asante wifi/mkemwenza. Na iwe hivyo[emoji120]
Acha kuqoute usiowajua ww..asbh watu wanawaza kazi ..ww umekaa kwa kitanda ata mswak hujapiga eti birthday..una akili kweli ww??Asante mkuu lakini wewe mbona asubuhi yote hii umeingia chitchat
Ni kweli akili sina mkuu ila nitafanyaje sasa ndo nshakuwa sina zingekuwa zinaazimika ningeomba uniazime za kwakoAcha kuqoute usiowajua ww..asbh watu wanawaza kazi ..ww umekaa kwa kitanda ata mswak hujapiga eti birthday..una akili kweli ww??
Avatar inaonuesha unawaza ndoa..nani atakuoa ww kochwa watermelon asbh unawaza birthday..?? Badilika binti..usiwe kama ka nziNi kweli akili sina mkuu ila nitafanyaje sasa ndo nshakuwa sina zingekuwa zinaazimika ningeomba uniazime za kwako