Ntuzu mimi na Asprin ndoa yetu ilishakufa kitambo nikutambulishe kifaa kpya tu sr bachelor ntakuja nae kama hatofika atawakilishwa na 1st AID
happy birthday mamii Khantwe
Waoh Nilikuwa laundry nasubilia suit...yaani nimefurahi mpaka nikarusha miguu juu, [MENTION][MENTION]kantwe[/MENTION] mi pls usimalize keki naja foleni nayo balaa sasa Mamaa nawe kwa kunifanya spare tyre jamani ya mi niwe mwakilishi kabisa wee sikubali.... shy land nae kaalikwa?[/MENTION]
Na kama bahat imekuangukia maana mr hatokuja ana.udhuru kidogo so tutaenda wote uje unipitie bas nakusubiria
Waoh Nilikuwa laundry nasubilia suit...yaani nimefurahi mpaka nikarusha miguu juu, [MENTION][MENTION]kantwe[/MENTION] mi pls usimalize keki naja foleni nayo balaa sasa Mamaa nawe kwa kunifanya spare tyre jamani ya mi niwe mwakilishi kabisa wee sikubali.... shy land nae kaalikwa?[/MENTION]
View attachment 206223 ubarikiwe mtumishi nakutakia siha njema na maisha marefu
Naja we Bahati haiji mara mbili huu mwendo wangu leo ka space shuttle nimevaa suit ya pink na viatu vya blue