Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy Birthday To mimi Khantwe

Akili mpakato hizi..asbh unawaza upupu tu..eti birthday..cockroach
 
Hivi kumbe leo ni birthday ya mume wangu MO11
Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi.

Wifi a.k.a mke mwenza heri ya siku ya kuzaliwa kwako, uwe na umri kama wa bi kidude tu usizidi hapo ukaja kutupa shida.
 
Happy birthday kwenu wapenzi na pacha wako RRONDO Yesu awatunze
 
Asante mkuu lakini wewe mbona asubuhi yote hii umeingia chitchat
Acha kuqoute usiowajua ww..asbh watu wanawaza kazi ..ww umekaa kwa kitanda ata mswak hujapiga eti birthday..una akili kweli ww??
 
Acha kuqoute usiowajua ww..asbh watu wanawaza kazi ..ww umekaa kwa kitanda ata mswak hujapiga eti birthday..una akili kweli ww??
Ni kweli akili sina mkuu ila nitafanyaje sasa ndo nshakuwa sina zingekuwa zinaazimika ningeomba uniazime za kwako
 
Ni kweli akili sina mkuu ila nitafanyaje sasa ndo nshakuwa sina zingekuwa zinaazimika ningeomba uniazime za kwako
Avatar inaonuesha unawaza ndoa..nani atakuoa ww kochwa watermelon asbh unawaza birthday..?? Badilika binti..usiwe kama ka nzi
 
Back
Top Bottom