Aseeh mzee leo simpati sio humu wala nje.Ha ha ha mie toka mwaka umeanza sjui mdogo wetu kafichwa wapi aisee
Inaonekana kuna kiumbe kinakata nae cake kwan kwako hakupita hv karbun
Na huyu anaesaidia majukumu kama familia tunaomba ajitambulishe na tumempokea kwa mikono miwil atpata na bonus kabisaAseeh mzee leo simpati sio humu wala nje.
Ila kwetu hizi ni taarifa nzuri. Ukiwa na dada kubali kusaidiwa majukumu.
inaonekana wanataka kutufanyia sapuraiz....Na huyu anaesaidia majukumu kama familia tunaomba ajitambulishe na tumempokea kwa mikono miwil atpata na bonus kabisa
Leo umeamkia wapi kwan si kwa busara hzi zilizopitlzaaaHappy birthday espy, Mungu wetu akapate kukupa hekima na maarifa kwa kila siku iitwayo leo, ukapate kumjua na kumtumikia kwa kadri ya uwezo wako. Akupe furaha amani na uwezo wa kutambua mema na mabaya.
Heri ya kuzaliwa kwako mpendwa.
Nitarudi ngoja kwanza.Hapo kwwnye dota kuna utata acha kwanza kama mjomba niendelee kumtunza tunza akue mkubwa mkubwa kwanza
Awwwww! The best thing ever happened to me, nafarijika sana kupata maneno yenye busara na hekima kutoka kwako mpenzi. Am in tears and i dont know why!!! I love you sweetie.Momma espy; As you mark your birthday, I wish you all the best of this world. Mungu akazidi kukubariki kwa baraka zote za rohoni na za mwilini, ukapate kibali mbele zake na mbele za wanadamu....May your territory be increased darlin.
Ukazidi kufanyika mama bora, mke mwema, mwalimu mwema, dada mzuri, rafiki wa kweli na kijana mwema kwa wazee wako na taifa. Ukazidi kufanyika kuwa baraka kwa wale wote wanaokuzunguka na watakaopita katika maisha yako. You shall live long to testify the greatness of Our Mighty God of Israel. Happiest birthday sistafriend, you know venye nakupendaga zaidi ya jana[emoji182] [emoji182]
Asante sana mpenzi.Auntie happy birthday to u [emoji8][emoji8] Yesu azidi kukulinda
Cake ipo mahala pake leo jamaan
Asante sana jirani.Happy birthday my beloved sister and Jirani.. Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha na mafanikio..
Sasa itabidi tupate mualiko na zawadi tupeleke..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani my kaka umefikia hata robo ya umri wangu? Shukrani mpendwa.
Mkuje nipo nyumbani nawasubiri.
Thanks mamy.Happy birthday mamy Espy
Shukrani mkuu.Hbday
Atoto party wapi?
Amen mpendwa.Happy birthday dear Espy,
Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha. Neema za Mungu ziwe nawe siku zote za maisha yako