Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Momma espy; As you mark your birthday, I wish you all the best of this world. Mungu akazidi kukubariki kwa baraka zote za rohoni na za mwilini, ukapate kibali mbele zake na mbele za wanadamu....May your territory be increased darlin.

Ukazidi kufanyika mama bora, mke mwema, mwalimu mwema, dada mzuri, rafiki wa kweli na kijana mwema kwa wazee wako na taifa. Ukazidi kufanyika kuwa baraka kwa wale wote wanaokuzunguka na watakaopita katika maisha yako. You shall live long to testify the greatness of Our Mighty God of Israel. Happiest birthday sistafriend, you know venye nakupendaga zaidi ya jana[emoji182] [emoji182]
Awwwww! The best thing ever happened to me, nafarijika sana kupata maneno yenye busara na hekima kutoka kwako mpenzi. Am in tears and i dont know why!!! I love you sweetie.
 
Back
Top Bottom