Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Ni kikurya au kizanaki? Sina kumbukumbu vizuri ni lugha gani kati ya hizo ni tusi. Nakumbuka utotoni ulikuwa ukimwambia mtu hivyo ni boonge la tusi.
Ni tusi kwa wote ie wakurya na wazanaki maneno mengi sana huwa wanashare.
Nahisi ni kikurya icho na nikionaga jina la jamaa mawazo uwa yanaenda mbali [emoji12] [emoji12]
 
Momma espy; As you mark your birthday, I wish you all the best of this world. Mungu akazidi kukubariki kwa baraka zote za rohoni na za mwilini, ukapate kibali mbele zake na mbele za wanadamu....May your territory be increased darlin.

Ukazidi kufanyika mama bora, mke mwema, mwalimu mwema, dada mzuri, rafiki wa kweli na kijana mwema kwa wazee wako na taifa. Ukazidi kufanyika kuwa baraka kwa wale wote wanaokuzunguka na watakaopita katika maisha yako. You shall live long to testify the greatness of Our Mighty God of Israel. Happiest birthday sistafriend, you know venye nakupendaga zaidi ya jana[emoji182] [emoji182]


Hallelujah to the Amen! [emoji122]
 
Back
Top Bottom