Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Najiamini ila wewe na Ney ndio siwaamini.Tatzo lako hujiamni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiamini ila wewe na Ney ndio siwaamini.Tatzo lako hujiamni
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ze big cake is kaming on the way from north korea
And authorized by American leaders [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ze big cake is kaming on the way from north korea
Ni kweli hivi vi cake vidogo vidogo atakula vingapi?Shida yake hana roho ya uvumilivu hatutamvusha kaanan shaur yake
Sie tunamtafutia cake inayoanana na umri wake sio hv vdogo vdogo
Ni tusi kwa wote ie wakurya na wazanaki maneno mengi sana huwa wanashare.Ni kikurya au kizanaki? Sina kumbukumbu vizuri ni lugha gani kati ya hizo ni tusi. Nakumbuka utotoni ulikuwa ukimwambia mtu hivyo ni boonge la tusi.
Nahisi ni kikurya icho na nikionaga jina la jamaa mawazo uwa yanaenda mbali [emoji12] [emoji12]
hahah sio kwa majina hayo aisee mweehHeaven Sent unaitwa na baba yako.
Wacha we!! Mie nawadeku tu.Ni kweli hivi vi cake vidogo vidogo atakula vingapi?
Swali fikirishi hilo avumilie tuu jamani hakuna namna
Ooooh kumbe!!Ni tusi kwa wote ie wakurya na wazanaki maneno mengi sana huwa wanashare.
Baba tu unae, uombe kingine tu.hahah sio kwa majina hayo aisee mweeh
Si huyu msukuma mwenzio.
Najua ubavu huna na ndicho kinachohitajika ili mdilute mama.
Shukrani sana mpendwa[emoji120]Belated happy birthday mrembo...Yesu akutunze!
Amen my dear.Najua nimechelewa ila maombi hayachelewi....
Happy born day aunt... Mungu akujaalie kila lenye kheri....uishi miaka mingi hata uone kizazi chako cha nne.....
Love you aunt!!!!
Sasa kama kaka ako huwataki unafikiri itakuwaje mama?Hahaha!, umenichoka ha
Hahah!, sawa mama!
Momma espy; As you mark your birthday, I wish you all the best of this world. Mungu akazidi kukubariki kwa baraka zote za rohoni na za mwilini, ukapate kibali mbele zake na mbele za wanadamu....May your territory be increased darlin.
Ukazidi kufanyika mama bora, mke mwema, mwalimu mwema, dada mzuri, rafiki wa kweli na kijana mwema kwa wazee wako na taifa. Ukazidi kufanyika kuwa baraka kwa wale wote wanaokuzunguka na watakaopita katika maisha yako. You shall live long to testify the greatness of Our Mighty God of Israel. Happiest birthday sistafriend, you know venye nakupendaga zaidi ya jana[emoji182] [emoji182]
Thanks dear.Happy born day Chimamy. Moi miss yo'
Ameeeen!Hallelujah to the Amen! [emoji122]