Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya mwaka mpya mpenziNimefurahi kuwaona pia, namuona HS kwa mbaaaliii.
Jamani huu uchogo huku mweehAcha bhana hiki kichwa si mchezo, kinakufanya usipite kimya. Kujivunia haswa.
Hahah!, eti alibahatisha! [emoji3]
Kagoma kuja kuchukua cake imebidi tuzile wenyewe banahHahah!, kweli mmempa Birthday! [emoji3]
Tupo mama tunajadili kuhusu swala lako la cake
Kagoma kuja kuchukua cake imebidi tuzile wenyewe banah
Hahaha.. nimetaka kukutukana sema nimehofia utabonyeza kitufe cha mezani hapo Pyongyang.Wa warembo..
Mzee mimi nija fix ila zako zimezidi aseeh umenikumbusha zile hadithi za uledi na mwenzake.Tupo airport kuna ukaguz unafanyka wanahs tumeficha bombadia kwa huu ukubwa wake
Ha ha ha ha mzee nmekumbuka hyo story mwenzie akaua hyo ngoz wakatumia kuwamba ngoma ambayo ilitumika kuchezea kama uwanjaMzee mimi nija fix ila zako zimezidi aseeh umenikumbusha zile hadithi za uledi na mwenzake.
Anamwambia babu yake ana mbuzi akisimama goli moja anagota lingije.
Hahaha.. nimetaka kukutukana sema nimehofia utabonyeza kitufe cha mezani hapo Pyongyang.
Nimeokoka.
Ha ha ha ha mzee nmekumbuka hyo story mwenzie akaua hyo ngoz wakatumia kuwamba ngoma ambayo ilitumika kuchezea kama uwanja
Ila hii mzee kwel muulize neybright ndio alikua na jamaa wa TFDA wanamalizana
Amekataa et kisa ni intaneshno