Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Mzee mimi nija fix ila zako zimezidi aseeh umenikumbusha zile hadithi za uledi na mwenzake.

Anamwambia babu yake ana mbuzi akisimama goli moja anagota lingije.
Ha ha ha ha mzee nmekumbuka hyo story mwenzie akaua hyo ngoz wakatumia kuwamba ngoma ambayo ilitumika kuchezea kama uwanja
Ila hii mzee kwel muulize neybright ndio alikua na jamaa wa TFDA wanamalizana
 
Back
Top Bottom