Happy birthday to you To yeye

Happy birthday to you To yeye

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina[emoji120]
Happy born day [emoji173] To yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Yani baba haambiwi ahsante? Hivi mnajua tunatumia nguvu kiasi gani kuwatoa viunoni mwetu?
 
Umeanza
5d51bfc81ae3c73337329dd1a8cf7cd1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
mashallah mtoto wa kinyakyusa❤️
unatimiza mingapi hivi🧐😂
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Yaan kumbe wewe umezaliwa siku moja na 'Mama' yangu?

HBD Mama live long!
 
Back
Top Bottom