Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mrembo na miss tanzania wa mwaka 2007
Mungu akubariki Madame uwe na maisha marefu, atimize haja za moyo wako...
Japo kuna kila aina ya mashambulizi yanayoelekezwa kwako kutokana na either tofauti ya itikadi za siasa au utaratibu wa maisha ya mtu binafsi...
Ila hayo yote binafsi nmeweka kando, wewe shemeji yetu wa zamani...
Kwa moyo mkunjufu kabisa, nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa...
Cc cute b
Mkuu ni pesa yako tuu,
Mkuu ni pesa yako tuu,
Weka m5 mezani....hapo unaeza pata nafas hata kum hug
Weka m5 mezani....hapo unaeza pata nafas hata kum hug
Miaka 27 lakini mileage imeenda sana...AKIFIKA 35yrs sijui atakuaje
Upambe mwingine bwana...Weka m5 mezani....hapo unaeza pata nafas hata kum hug