Happy birthday Wema Sepetu (madame)

Happy birthday Wema Sepetu (madame)

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
19,955
Reaction score
45,207
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mrembo na miss tanzania wa mwaka 2006

Mungu akubariki Madame uwe na maisha marefu, atimize haja za moyo wako...

Japo kuna kila aina ya mashambulizi yanayoelekezwa kwako kutokana na either tofauti ya itikadi za siasa au utaratibu wa maisha ya mtu binafsi...

Ila hayo yote binafsi nmeweka kando, wewe shemeji yetu wa zamani...

Kwa moyo mkunjufu kabisa, nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa...

Cc cute b
 
Last edited by a moderator:
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mrembo na miss tanzania wa mwaka 2007

Mungu akubariki Madame uwe na maisha marefu, atimize haja za moyo wako...

Japo kuna kila aina ya mashambulizi yanayoelekezwa kwako kutokana na either tofauti ya itikadi za siasa au utaratibu wa maisha ya mtu binafsi...

Ila hayo yote binafsi nmeweka kando, wewe shemeji yetu wa zamani...

Kwa moyo mkunjufu kabisa, nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa...

Cc cute b

Anatimiza miaka Mingapi maana huyu kla cku ana miaka 26 hakui anyway happy born day kwake "ombi langu nami cku moja anituku hilo jicho""....,
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my cutie my sepetunga my mama wanjeraaaa my Tz sweetheart 1443432084439.jpg
 
Happy birthday Wema Mungu akupe maisha marefu yenye heri na fanakq
 
Miaka 27 lakini mileage imeenda sana...AKIFIKA 35yrs sijui atakuaje
 
Miaka 27 lakini mileage imeenda sana...AKIFIKA 35yrs sijui atakuaje

Binadam bwana..sasa wewe unataka umri wake urudi nyuma? Jamani kuna vitu vingine as human beings we have no control over them. and that's one of them.
 
Happybirthday Wema Sepetu.
Mungu akupe hekma uache kudhihaki afya za waja wake, asije kukuza hilo nundu mgongoni ukawa kama ngamia.
Akupe baraka na akuepushe na wanaume matapeli wa mapenzi kama Nassib Abdul a.k.a baba lati a.k.a baba mlezi,
Akupe kujithamini na kujiamini zaidi usirudie yale mamikorogo yako na michina ukawa kama kitmotto.
Akupe maarifa na ufaham zaidi katika biashara zako zote,
Amin heri
 
Back
Top Bottom