BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
wewe umetumia vipimo gani kujua hayo? au post za insta...Wema ana roho nzuri...huwezi fananisha na BANANGE!
Naona safari hii kangukia puwa zerolast time alipata zawadi za Murano na range lover, safari hii vipeee!
Zari kafikisha miaka 35 yearsKwani ile juzi zari alifikisha kiaka 40 na ngapi???
Zari kafikisha miaka 35 years
Pole sn mdau maana umemwaga hisia zinazoambatana na chozi,kaaz kwelikwelikwahiyo huyo Zee kuzaa Tiffa na kumbemenda na mumewe, mnaona big deal??!!!!!!!
mwanammke yoyote yule ni Tabia/upendo
Wema kama wema ana mapungufu mengi sana kama mtu yeyote yule, hasa kwa sababu ni Top Star..
Lakini wema kama jina lake ni mdada mmoja hivi ambae ana upendo wa hali ya juu, hana majivuno, hajikwezi
sasa kama mama Chibu, sometimes huwa anamkumbuka
pamoja alikua na mapungufu yake..
lakini ana mazuri na tabia zake nzuri anazo,hasa upendo..
Halafu hatuwezi kubisha kuwa katika wanawake ambao walimpenda diamond kwa moyo wote, kwa hali na mali ni Wema Sepetu..
alijitolea sana..
mtu ambae kawahi kupenda ,anajua jinsi gani wema alimpenda Chibu
familia ya Chibu ndo ime realize sasa hivi, kwa 7bu wema ameshaachana na chibu
hapo ndipo wanapoona gape..
HAPPY BIRTHDAY TZ SWEETHEART...
Wema Isack Sepetu[emoji7][emoji512][emoji320][emoji322]
Aunt EzekielHuyo demu kwenye picha ni nani?
Sure kuna dada moja namjua ana boyfriend wake na anampenda sasa kwakujiuza ni shikamohata malaya ana mpenzi!!!!
Wewe unatetemesha nini? Learn to appreciate something however small it may be.Aendelee kutetemesha IG,wenzake wenye akili kubwa wanatetemesha li Mansion kwa Madiba
BANANGE MUKWANOWema ana roho nzuri...huwezi fananisha na BANANGE!
umeona eee... umasikini na roho mbaya vikichanganyika ni bonge la bomu.. hlf hata huyo Diamond akija kuwa na mwanamke mwingine nao wtatasema heri ya Zari kuliko huyowewe umetumia vipimo gani kujua hayo? au post za insta...
Namshauri Diamond agawe mali zake mapema ...
Hakika umaskini mbaya sana tena sana....
Ulishawai kukaa ata dakika moja na Zari ukafahamu tabia yake?Wema ana roho nzuri...huwezi fananisha na BANANGE!
nisubiri kesho tukutane PUGU SECmimi napita tu nawahi uhakiki wa watumishi hewa [HASHTAG]#hapauhakikitu[/HASHTAG]