Happy birthday Wema Sepetu

Happy birthday Wema Sepetu

Mwanamke akia na star kama chibu lazima mapedege wengine watakutokea ili na wao waone mile ster kama chibu anachopata toka kwa demu

Ila akiondoka tu na wao wanapeperuka
Ndio yaliomtokea wema sepetu zawadi za Benz zimeyeyuka zaidi naona keki ya sh 10000
 
kwahiyo huyo Zee kuzaa Tiffa na kumbemenda na mumewe, mnaona big deal??!!!!!!!
mwanammke yoyote yule ni Tabia/upendo
Wema kama wema ana mapungufu mengi sana kama mtu yeyote yule, hasa kwa sababu ni Top Star..
Lakini wema kama jina lake ni mdada mmoja hivi ambae ana upendo wa hali ya juu, hana majivuno, hajikwezi

sasa kama mama Chibu, sometimes huwa anamkumbuka
pamoja alikua na mapungufu yake..
lakini ana mazuri na tabia zake nzuri anazo,hasa upendo..
Halafu hatuwezi kubisha kuwa katika wanawake ambao walimpenda diamond kwa moyo wote, kwa hali na mali ni Wema Sepetu..
alijitolea sana..
mtu ambae kawahi kupenda ,anajua jinsi gani wema alimpenda Chibu
familia ya Chibu ndo ime realize sasa hivi, kwa 7bu wema ameshaachana na chibu
hapo ndipo wanapoona gape..

HAPPY BIRTHDAY TZ SWEETHEART...
Wema Isack Sepetu[emoji7][emoji512][emoji320][emoji322]
Pole sn mdau maana umemwaga hisia zinazoambatana na chozi,kaaz kwelikweli
 
  • Thanks
Reactions: ora
wewe umetumia vipimo gani kujua hayo? au post za insta...

Namshauri Diamond agawe mali zake mapema ...
Hakika umaskini mbaya sana tena sana....
umeona eee... umasikini na roho mbaya vikichanganyika ni bonge la bomu.. hlf hata huyo Diamond akija kuwa na mwanamke mwingine nao wtatasema heri ya Zari kuliko huyo
 
Mirija ya fweza imekata hawa walitegemea watu toka serikalini bahati nzuri Anco Magu amebana!
 
Back
Top Bottom