Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanae
Umri wa Zari unahusikaje hapo?Kwani ile juzi zari alifikisha kiaka 40 na ngapi???
hhaha hhaha hhahalast time alipata zawadi za Murano na range lover, safari hii vipeee!
Party imefanywa jana na Team yake [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Dinazarde sio wema huyu anayependa attention aache kufanya party kweli?
Ina mana huyo wema alimpata dai akiwa choka mbaya????wema alimkuta dai tayar kashatoka japokuwa sio kama sasa.Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanae
Huyu bibi nahisi ajielewi,juzi kati hapa alisema hataki team wema sijui inamuharibia sasa ilikuaje jana akaenda kwenye hiyo party??Party imefanywa jana na Team yake [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wanafki hao,wanakumbuka shuka kumekucha[emoji53] [emoji53] [emoji53] si walikuwa wanamnanga sepetu mgumba Leo eti wanamkumbuka,mxiuuView attachment 408272kweli wanakukumbuka wema
Haha pale ngoma droo[emoji23]Tatzo anachoongea zari mama mondi hasikii na anachoongea mama mondi zari hasikii"
Mauzauza hayoHuyu bibi nahisi ajielewi,juzi kati hapa alisema hataki team wema sijui inamuharibia sasa ilikuaje jana akaenda kwenye hiyo party??
Kwa nini umfananishe nae?.sio ndugu sio wake wenza ...unatimua kigezo ganiWema ana roho nzuri...huwezi fananisha na BANANGE!
Lady,what is there to appreciate!!!!!! sleeping with every Tom,Dick and HarryWewe unatetemesha nini? Learn to appreciate something however small it may be.
Wewe tema mate chini, mi nadhani hawajampatia huyo atazaa tu akikutana na shujaaHamna Kizazi pale Mkuu
Halafu inawezekana mazaa anaumia kuona Zarina anapendwa sana na diamond.....wanawake ndo tulivyo tukiona mtoto wetu anampenda sana mke wake kawivu kanatuingiaa tunaanza kuhisi vizuri vyote vtapelekwa kule....umeona eee... umasikini na roho mbaya vikichanganyika ni bonge la bomu.. hlf hata huyo Diamond akija kuwa na mwanamke mwingine nao wtatasema heri ya Zari kuliko huyo
Uko sahihi kabisa mkuu!Wewe tema mate chini, mi nadhani hawajampatia huyo atazaa tu akikutana na shujaa