Happy birthday

Kwa ninavyokujua alikudanganya inaongeza nguvu za kiume
Ha ha hamna bwana.. Yule naheshimiana naye sana hawezi kunipa huo ushauri
Afu nakuja naye ila hakuna kumtolea macho manake ni kisu hatari anafunika wote hawa watoto wako wa kizaramo kina shunnie na midera yao mbwela mbwela
 
hahahhah ungejua mm tofaut na hizo nguo anaenijua anajua yaan ww chizi
 
Ha ha hamna bwana.. Yule naheshimiana naye sana hawezi kunipa huo ushauri
Afu nakuja naye ila hakuna kumtolea macho manake ni kisu hatari anafunika wote hawa watoto wako wa kizaramo kina shunnie na midera yao mbwela mbwela
Hahaha
Shunie lile jibu lake usimpe unaona anawananga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…