Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hatujui hapatikaniki simu zake zote bado tunaendelea kumtafutaSwahiba sio wa nchi hii.. haja enda kumpigia kura huko TLS Lkn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatujui hapatikaniki simu zake zote bado tunaendelea kumtafutaSwahiba sio wa nchi hii.. haja enda kumpigia kura huko TLS Lkn
Hahaha [emoji85][emoji85][emoji85]. Nimekuelewa ujuehe he mm leo wa kutoaminiwa
hahahhhhHahaha [emoji85][emoji85][emoji85]. Nimekuelewa ujue
Ha ha hamna bwana.. Yule naheshimiana naye sana hawezi kunipa huo ushauriKwa ninavyokujua alikudanganya inaongeza nguvu za kiume
Unamaanisha nini vile....hahahhhh
hahahhah ungejua mm tofaut na hizo nguo anaenijua anajua yaan ww chiziHa ha hamna bwana.. Yule naheshimiana naye sana hawezi kunipa huo ushauri
Afu nakuja naye ila hakuna kumtolea macho manake ni kisu hatari anafunika wote hawa watoto wako wa kizaramo kina shunnie na midera yao mbwela mbwela
HahahaHa ha hamna bwana.. Yule naheshimiana naye sana hawezi kunipa huo ushauri
Afu nakuja naye ila hakuna kumtolea macho manake ni kisu hatari anafunika wote hawa watoto wako wa kizaramo kina shunnie na midera yao mbwela mbwela
si umeelewa lkn mm nataka cake kama hamna nitumie ata cake ya kuchora hushindwi kusema kukata cake kenyaUnamaanisha nini vile....
Hapa hapa bongo bhn...si umeelewa lkn mm nataka cake kama hamna nitumie ata cake ya kuchora hushindwi kusema kukata cake kenya
Mwambie Nawapenda mlivyohahahhah ungejua mm tofaut na hizo nguo anaenijua anajua yaan ww chizi
hahahahh ila nyie watu nyieHapa hapa bongo bhn...
Wifi yako anataka kuwafanyia suprise.
hahhahahMwambie Nawapenda mlivyo
Huyu wangapi ??? MkuuuThanks honey. Love you saaana. Kipenzi changu siunajua navyokupendaga eeeeh [emoji7][emoji7][emoji7]
Na madera/madela yao sio?Mwambie Nawapenda mlivyo
Huyu arifu anawapanga sana asee!Huyu wangapi ??? Mkuuu
Yupo mwenyewe huyu sumbai. Siunaona anajiaminiHuyu wangapi ??? Mkuuu
ndio hivyohivyo anatupenda [emoji23]Na madera/madela yao sio?
jaman jaman msimuhalibie mwenzenu siku yake [emoji23]Huyu wangapi ??? Mkuuu