Happy birthday

ndio hivyohivyo anatupenda [emoji23]
Kaone.. Yani haka ndio kangejua tulienda kwa mganga ili kanipende mimi ila Daby akanizidi ujanja akaenda akaogea ile dawa yangu usiku mm nilipanga nikaoge asubuhi
Sasa hivi hakaambiliki.
Hata kakiambiwa kafungishe ndoa ya mkeka na dera katakubali hapo hapo.

Si mtakaona leo kwenye birthday katakavyokata mauno na dera lake manake kana chura hatari..
 
Khaaaa huyo unaemtaja shunie wako ww shunie mm nipo tofaut na huyo wako
 
Happy Birthday Daby .. Mungu akuzidishie miaka mingi sana tuone ukitoboa Majuu na usahau mauchungu ya Bongo. Hahaha

Daah, too bad Shemeji hajui kingereza saaana, leo angemwaga ung'eng'e wa kufa mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…