Happy birthday

[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Ahsante saana Compact. Huko lazima twende mkuu kwa namna yoyote.

Tehteh... itabidi twende naye akapigwe msasa mbele. Ila hicho kiwango ukijumlisha na haba namwona British [emoji4]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
kwa heshima na taadhima
NapendA kumu'wish' my dear, my love, my sweet my lotion, my kapeti,my ....
HAPPY BIRTHDAY TO YOU[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
I LOVE YOU SO MUCH
oooo sory nilisahau kuwasalimia
Mko poa wana jf?!
Ungemtaja au tu kama unampenda.
Nadhan ni charii angu
Chuga boy one!!
Dably Daby
Happy birthday bro
 
Tunaikata wote bhn... hasa wale memba wa ule uzi. Muite dada yako kwanza na mmewe
Happy born day my shem, kaka wa mie, roho ya Husna, rafiki ake Shunie, Swahiba wa mume wangu!!!! Mungu akupe miaka mia nane, nakupenda lakini nampenda babu zaidi, namzimia Shunie wangu.
Tukutane baadae kwenye Keki
 
Asante bro mzee wa mikakati. Tank think mwenyewe. wana bila wewe hawafiki kule ujue. Play smarter.

Wasije wakalowanisha na keyboard lkn.
 
Happy born day my shem, kaka wa mie, roho ya Husna, rafiki ake Shunie, Swahiba wa mume wangu!!!! Mungu akupe miaka mia nane, nakupenda lakini nampenda babu zaidi, namzimia Shunie wangu.
Tukutane baadae kwenye Keki
mpk sasa cake haijulikan n wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…