Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #81
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Daby mwezi wa kwanza si tulisherehekea birthday yako? Hii ya mwezi wa tatu imetokea wapi tena?
Hapo huyu husna 100% gharama kwake..
Vitakoma mwaka huu.. Mwisho wa mwezi unakimwaga unakamata shunnie.. April birthday nyingine.
Mi nafurahi tu kula mikeki hiyo