Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Aisew hayo maneno yana maana gani kwani hadi daby umemind??Mwenyewe umenikera haujui tu... kuniandikia hayo maneno ni insult kubwa kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisew hayo maneno yana maana gani kwani hadi daby umemind??Mwenyewe umenikera haujui tu... kuniandikia hayo maneno ni insult kubwa kwangu
Baby acha ugomviKuwq na ndugu kama wewe shida.
Na ole wako mwaka huu uongeze mke na usawa huu wa magufuli. Ndugu zako tutakukimbia sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona hunielewi jua upako leo jpili nanena kwa lugha.
[emoji35]Hahahaha
Nitaongea hadi kichina kwa kweli [emoji39][emoji39]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwa vile mimi sikuzaliwa nilijambwa eeeh [emoji53][emoji53]
Ilishaisha jana mbona... ihifadhi mpaka mwakani utanipa.
We ibilis ushindwe na utepeteekubali bas Daby kiduchu tu tukakae viti virefu tujinywee heinken na mishkaki
Daby ndugu yangu mtoto mZuri huyo usimkazie..
Si aliende kuchororaroroor..
Sio mbaya Daby wewe hukasirikagi ungekuwa wa kukasirika usingekuwa unongea na mimi.
Hizi zote ni drama tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha nimecheka kwa sauti ww huyo imetoka moyoni kabisa
halaf husna nimemkuta uko anamwambia HR kumbe ww ndio shemeji yangu nilikua sijui HR aliniquote ujinga wake
[emoji35]Umeelewa labda kama unataka ufafanuzi usikie utamu nambie tuu
Sasa si muende uko kwa waziri mukaongelee hayo mambo yenu mmphfuuuu... Fyuuumbaaafyuuu[emoji35]Maelezo mengine yananoga kwa waziri mkuu bhn
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Koflyn for you puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KIKOJOLEO changu bado kipo strong..baby anakitumia
Huo mnaogawana na wenzako? Husna vipi unionje na mimi ..Weeeee.....unataka nikose utamu...!!![emoji35]
[emoji87]Baby au mabebi..
Walishaenda na kazi ilishaisha manake nilikaa sana kuwangoja nikakuta kimyaaaaaa!Sasa si muende uko kwa waziri mukaongelee hayo mambo yenu mmphfuuuu... Fyuuumbaaafyuuu[emoji35]
Shtuka wewe .. 'Mjanja mzima kama wewe jamani. Au ndio kumpenda jongoo?[emoji87]
Ndio nakubali[emoji4]Huo mnaogawana na wenzako? Husna vipi unionje na mimi ..
Kwa vile unatendwa na jamaa na wewe mtende iwe bila bila .
Au wewe unakubali kuwa kiazi?
Mwanaume mzimaaa ushilawadu tu lioneeWalishaenda na kazi ilishaisha manake nilikaa sana kuwangoja nikakuta kimyaaaaaa!
NdioShtuka wewe .. 'Mjanja mzima kama wewe jamani. Au ndio kumpenda jongoo?
Mm shilawadu ndio.. Kwa ww ndio bashite?Mwanaume mzimaaa ushilawadu tu lionee
Kwani nilikwambia ww?[emoji35]